MTENDAJI WA KIJIJI III – 2 POST
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu
APPLICATION TIMELINE: 2024-03-12 2024-03-25
JOB SUMMARY NIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIES (i)Mtendaji Mkuu wa Serikali ya kijiji

(ii)Katibu wa Kamati ya kijiji

(iii)Mratibu wa utekelezaji wa Sera na Sheria zinazotekelezwa na Halmashauri  katika Kijiji

(iv)Mshauri wa Kamati ya Kijiji kuhusu Mipango ya Maendeleo katika Kijiji.

(v)Msimamizi wa Utekelezaji wa Sheria ndogo pamoja na Sheria nyingine zinazotumika katika Kijiji

(vi)Mshauri wa Kamati ya Kijiji kuhusu masuala  ya Ulinzi na Usalama.

(vii)Msimamizi wa Mtekelezaji wa mikakati mbalimbali inayohusu uondoaji wa njaa na Umasikini katika Kijiji.

(viii)Kusimamia Ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri na kutunza kumbukumbu za walipa kodi.

(ix)Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE Kuajiriwa mwenye Elimu ya kidato cha Nne(IV) au Sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo: Utawala,Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo Cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION TGS B

Leave a Comment