POST DEREVA DARAJA II – 1 POST
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi
APPLICATION TIMELINE: 2024-03-20 2024-04-04
JOB SUMMARY NIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
  1. Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;
  2. Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi;
  3. Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari;
  4. Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali;
  5. Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari;
  6. Kufanya usafi wa gari; na
  7. Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE Mwombaji awe na Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya Ufundi Stadi (VETA) au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION TGS B

Leave a Comment