| POST |
DEREVA DARAJA II – 1 POST |
| EMPLOYER |
Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi |
| APPLICATION TIMELINE: |
2024-03-20 2024-04-04 |
| JOB SUMMARY |
NIL |
| DUTIES AND RESPONSIBILITIES |
- Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;
- Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi;
- Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari;
- Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali;
- Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari;
- Kufanya usafi wa gari; na
- Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake.
|
| QUALIFICATION AND EXPERIENCE |
Mwombaji awe na Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya Ufundi Stadi (VETA) au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali. |
| REMUNERATION |
TGS B |