Habarika | TANZIA: RAIS WA ZAMANI WA BURUNDI, KANALI JEAN BAPTISTE BAGAZA AFARIKI DUNIA
layout-wrap boxed
Sunday, April 22, 2018

TANZIA: RAIS WA ZAMANI WA BURUNDI, KANALI JEAN BAPTISTE BAGAZA AFARIKI DUNIA

Rais wa zamani wa Burundi Kanali Jean-Baptiste Bagaza amefariki alipokuwa akitibiwa nchini Ubelgiji ambapo marehemu amekuwa akitibiwa kwa muda katika hospitali ya Sainte Elisabeth mjini Brussels.

bagaza

“Imethibitishwa, rais wa zamani Jean Baptiste Bagaza amefariki dunia akiwa nchini Ubelgiji”, ameandika mshauri wa rais wa Burundi Willy Nyamitwe kwenye Twitter.

Kanali Bagaza aliingia madarakani Novemba 1976 kupitia mapinduzi ya kijeshi ambapo aliondolewa madarakani kupitia mapinduzi mengine yaliyoongozwa na binamu wake Meja Pierre Buyoya Septemba 1987.

 

Sambaza Makala hii: Share on Facebook0Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn0Share on Google+0Email this to someone

You may also like

0 comments

By