Habarika | WARUSHA MATANGAZO WAPENDEKEZA WANANCHI KULIPIA MATANGAZO YA TELEVISHENI
layout-wrap boxed
Sunday, April 22, 2018

WARUSHA MATANGAZO WAPENDEKEZA WANANCHI KULIPIA MATANGAZO YA TELEVISHENI

Warusha matangazo ya televisheni na wenye vituo vya utangazaji wamependekeza matangazo ya bure yaondolewe na badala yake wananchi walipie. Mapendekezo hayo yametolewa kwenye mkutano wa kukusanya maoni ulioandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa lengo la kuja na marekebisho ...