Habarika | Ubungo
layout-wrap boxed
Tuesday, May 22, 2018

Ubungo

Waziri wa Fedha, Dr. Philiph Mpango amewaeleza Watanzania kila kilichosemwa kwenye mazungumzo IKULU na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia ambaye ameitembelea Tanzania ambapo moja ya vilivyojadiliwa ni Fly Over ya Ubungo ambayo itasaidia sana kuondoa foleni sugu. Kulikuwa na mazungumzo rasmi yaliyofanyika IKULU ...

Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea (Chadema) amehukumiwa kifungo cha miezi mitatu baada ya kupatikana na hatia ya kutumia lugha ya matusi. Kubenea amehukumiwa adhabu hiyo jana baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kumtia hatiani katika kosa la ...

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es salaam imesema mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema) anayekabiriwa na kesi ya kumtolea lugha ya matusi Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda, ana kesi ya kujibu. Uamuzi huo ulitolewa mahakamani hapo  na ...