Habarika | Tigo Pesa
layout-wrap boxed
Friday, December 15, 2017

Tigo Pesa

huduma za pesa

Kampuni za simu zinazotoa huduma ya fedha kwa njia ya simu za mkononi katika kipindi cha miezi miwili iliyopita Novemba na Desemba mwaka jana zimekusanya kiasi cha Sh. trilioni 13.07. Kaimu Meneja wa Habari Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Semu ...