Habarika | TCRA
layout-wrap boxed
Sunday, April 22, 2018

TCRA

Warusha matangazo ya televisheni na wenye vituo vya utangazaji wamependekeza matangazo ya bure yaondolewe na badala yake wananchi walipie. Mapendekezo hayo yametolewa kwenye mkutano wa kukusanya maoni ulioandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa lengo la kuja na marekebisho ...

Jeshi la polisi mkoa wa Mtwara limeomba Mamlaka ya Mawasiliano nchini TCRA kuelekeza nguvu kwenye eneo la usajili wa laini za simu ambalo limeonyesha kuwa na changamogo nyingi ikiwemo taarifa zisizo sahihi zinazochangia jeshi hilo kushindwa kufanya kazi yake ipasavyo ...

Ikiwa zimebaki masaa machache kabla ya kuzimwa kwa simu feki hapa nchini, mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA, wamekutana na wafanyabiashara wa simu pamoja na wananchi mkoani Lindi ili kuwapatia elimu juu ya bidhaa hizo feki ambazo zinatarajiwa kuzimwa Juni 16 mwaka ...

Kampuni mbili za mawasiliano ambazo zilipewa leseni mwaka 2008 na 2011 na hadi sasa hazijafanya shughuli walizoombea leseni zao na mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kwa mujibu wa tangazo la mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) la kusudio la kufuta leseni ...

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeizuia kampuni ya Rifaro Africa Limited kutumia rasilimali masafa (namba maalum 15420) kwa kuwa haina ruhusa kufanya hivyo. Aidha kampuni ya Azam Marine imezuiliwa kuendesha shughuli za kiposta za kusafirisha vifurushi na vipeto kutokana na ...