Habarika | Tanzania
layout-wrap boxed
Sunday, April 22, 2018

Tanzania

Viwango vya wanawake kuweza kupata mimba nchini Tanzania vimepungua hadi 5.2 kwa kila mwanamke nchini Tanzania mwaka 2015/2016 kutoka 6.2 kwa kila mwanamke miaka ya 1991/92, kulingana na utafiti wa afya nchini. Kwa mujibu wa gazeti la The Citizen, utafiti ...

Ramani mpya iliyotolewa na Tanzania ambayo inaonyesha kuwa inaamiliki nusu ya Ziwa linalozozaniwa la Malawi au Nyasa, imezua mzozo mpya na Malawi ambayo inasema kuwa ramani hiyo si sahihi. Ramani ya Tanzania inaonyesha kuwa eneo la Kaskazini Mashariki mwa ziwa ...

KENYA: Nchini kenya waziri wa fedha Henry Rotich leo amewasilisha bungeni bajeti ya makadirio ya matumizi ya pesa za serikali katika kipindi cha mwaka 2016-2017. Bajeti hiyo ya jumla ya shilingi trilioni 2.26 inatarajiwa kufadhiliwa kupitia ukusanyaji wa ushuru na ...

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amewasili nchini kutoka Kampala, Uganda na kusema miundombinu ya Tanzania na usalama wake ni moja ya mambo yaliyowezesha Tanzania kupata dili la ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Hoima, Uganda hadi bandari ...

Tanzania ni miongoni mwa nchi barani Afrika zinazoongoza kwa wagonjwa wenye matatizo ya Moyo kufuatia idadi kubwa ya wananchi kubadili mifumo ya maisha ikiwemo kutokufanya mazoezi na kupelekea kuwa na shinikizo la damu. Hayo yamebainisha jijini Dar es Salaam wakati ...

Kenya imeilaumu Tanzania kwa kuwaweka raia wa Ethiopia katika eneo lake la mpaka siku ya Jumanne badala ya kuwarudisha makwao kulingana na ripoti ya gazeti la The standard nchini Kenya. Raia hao wa Ethiopia walikuwa wameachiliwa huru baada ya kuhudumia ...

Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir anatarajiwa kutia saini mkataba wa kuiingiza rasmi nchi hiyo kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki. Rais Kiir atatia saini mkataba huo jijini Dar es Salaam mbele ya mwenyeji wake, Rais wa Tanzania John Magufuli, ambaye ...

Serikali ya Marekani imesema itaendelea kutoa misaada katika sekta ya afya na elimu nchini ikiwa ni mwendelezo wa kuimarisha ushirikiano wake wa Tanzania. Balozi wa Marekani nchini, Mark Childress alisema hayo jijini Dar es Salaam alipokutana na Waziri wa Mambo ...

Kampuni ya matangazo ya kidigitali ya Smartcodes imezindua rasmi mtandao ujulikanao kama “Kwanza” ambalo ni jukwaa mahsusi kwa ajili ya kujumuisha matangazo yote ya kidigitali ndani ya mtandao mmoja Tanzania. Jukwaa hilo la kitaalamu la ‘Kwanza’ ambalo ni la kwanza ...

“Tanzania inatakiwa kujifunza kutoka Bara la Asia katika uanzishwaji wa viwanda. nchi za Korea Kusini, taiwan, Hong Kong na Singapore zilifanikiwa kuingia kwenye uchumi wa viwanda baada ya kuangalia kile walichozalisha na sio kinachozalishwa nje ya nchi yao..” Mtaalamu wa ...