Habarika | Smart Codes
layout-wrap boxed
Sunday, April 22, 2018

Smart Codes

Ikiwa ni katika kuhakikisha kuwa inatekeleza mpango wake wa kuifanya Tanzania kuwa katika mfumo wa kidigitali, Leo hii Kampuni ya Vodacom imetangaza kuwa simu janja zote (smartphone) ikihusisha pia zile ambazo zinaendeshwa na mfumo wa iOS zinaweza kulitumia jukwaa lake ...

Kampuni ya matangazo ya kidigitali ya Smartcodes imezindua rasmi mtandao ujulikanao kama “Kwanza” ambalo ni jukwaa mahsusi kwa ajili ya kujumuisha matangazo yote ya kidigitali ndani ya mtandao mmoja Tanzania. Jukwaa hilo la kitaalamu la ‘Kwanza’ ambalo ni la kwanza ...