Habarika | Semu Mwakyanjala
layout-wrap boxed
Tuesday, December 12, 2017

Semu Mwakyanjala

huduma za pesa

Kampuni za simu zinazotoa huduma ya fedha kwa njia ya simu za mkononi katika kipindi cha miezi miwili iliyopita Novemba na Desemba mwaka jana zimekusanya kiasi cha Sh. trilioni 13.07. Kaimu Meneja wa Habari Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Semu ...
pesa

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa tahadhari kwa watumiaji wa huduma za mawasiliano juu ya utapeli unaofanywa kwa kutumia simu za mkononi. Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Kaimu Meneja wa Mawasiliano kwa Umma wa TCRA, ...