Habarika | Profesa Sospeter Muhongo
layout-wrap boxed
Friday, April 27, 2018

Profesa Sospeter Muhongo

Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu, unaosimamiwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA), utaanza rasmi kutekelezwa mwezi ujao, imefahamika. Hayo yameelezwa na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo mjini Dodoma wakati akijibu hoja za wajumbe ...

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amebainisha mikakati ya serikali ya kuwekeza takribani dola bilioni 30 (Sh trilioni 63) kwa ajili ya ujenzi wa kiwanda cha kuchakata gesi kitakachojengwa mkoani Lindi. Muhongo aliyasema hayo jana kwenye viwanja vya ...

Serikali imesema itaanza uagizaji wa pamoja wa gesi inayotumika nyumbani (LPG) kuanzia Septemba mwaka huu ambao utasaidia kushuka kwa bei ya bidhaa hiyo nchini. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Dk Juliana Pallangyo, alisema hayo kwa niaba ...

Serikali inatarajia kuzindua mradi mkubwa wa kuboresha miundombinu ya kusafirisha umeme Septemba mwaka huu, utakaomaliza tatizo la umeme kukatika. Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo alisema kwa sasa miundombinu ya kusafirishia umeme ni midogo na katika kuboresha hilo, ...

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amewasili nchini kutoka Kampala, Uganda na kusema miundombinu ya Tanzania na usalama wake ni moja ya mambo yaliyowezesha Tanzania kupata dili la ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Hoima, Uganda hadi bandari ...

Rais John Magufuli ametaka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kuachana na miradi ya mitambo ya kukodi na kutosikia kuna mapendekezo ya kutaka kuongeza mkataba. Amewataka watendaji wa shirika hilo kuondokana moja kwa moja na wazo la kuja, kwa kuwasisitiza  kwamba ...