Habarika | Marekani
layout-wrap boxed
Sunday, April 22, 2018

Marekani

Rais wa Marekani Donald Trump amesema serikali yake itaanza mara moja kushughulikia ujenzi wa ukuta kati ya Marekani na Mexico ikiwa ni utekelezaji wa ahadi yake kubwa aliyoiweka wakati wa kampeni za uchaguzi. Akizungumza na wafanyakazi wanaohusika na usalama wa ...

Rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kutia saini amri kuu kuweka masharti kuhusu wahamiaji wanaoingia nchini humo. Taarifa kutoka Marekani zinasema ataanza kwa hatua ya kuimarisha usalama katika mpaka wa nchi hiyo na Mexico atakapozuru makao makuu ya wizara ya ...

Karibu wanafunzi 1,000 wa shule za sekondari kutoka Washington DC, na maeneo ya jirani walitoka mashuleni na kuandamana kuzunguka mji hapo Jumanne, wakimpinga rais mteule w Marekani, Donald Trump. Kwa mujibu wa mwanafunzi mmoja aliyeongea na VOA alisema kwamba klabu ...

Rais Obama ameagiza idara za serikali kushirikiana vyema katika kipindi cha mpito wa kubadilishana madaraka rasmi kuelekea kuapishwa kwa rais mteule Januari 20 mwaka 2017. Rais mteule wa Marekani Donald Trump amekutana na rais Barack Obama Ikulu ya White House ...

Mke wa mgombea urais wa chama cha Republican nchini Marekani Donald Trump amekanusha madai kwamba huenda alivunja sheria za viza alipoanza kufanya kazi kama mwanamitindo jiji New York, Marekani. Kupitia taarifa, Melania Trump amesema amekuwa akitii sheria na kanuni za ...

Watu wenye ushawishi na wanasiasa maarufu nchini Marekani kutoka katika bunge la Congress na chama cha Republican wametoa matamko yao kuwa hawatampa kura zao mgombea wa nafasi ya urais Donald Trump, wakisema kwamba mgombea huyo hatoshi kwa nafasi hiyo nyeti ...

Mgombea urais wa chama cha Republican nchini Marekani Donald Trump ameahidi kumaliza uhalifu na ghasia nchini Marekani iwapo atachaguliwa kuwa rais kwenye uchaguzi mkuu mwezi Novemba. Akiongea katika kongamano kuu la chama cha Republican wakati wa hotuba yake ya kukubali ...

Maafisa watano wa polisi mjini Dallas, Marekani wamepigwa risasi na kuuawa wakati wa maandamano ya kupinga mauaji ya watu weusi huku maafisa wengine saba wakijeruhiwa, wawili wamefanyiwa upasuaji wa dharura na mmoja yumo katika hali mahututi. Maafisa wa polisi katika ...

Korea Kusini, Marekani na Japan zimefanya zoezi la ushirikiano la kukabiliana na makombora baharini katika jimbo la Hawaii. Hatua hiyo inajiri kufuatia msururu wa majiribio ya makombora ya masafa mafupi katika miezi ya hivi karibuni inayofanywa na Korea kaskazini. Majaribio mengi ...

Kufuatia kura ya maoni ya Uingereza kujitoa ndani ya Jumuiya ya Ulaya waziri wa mambo ya kigeni wa Marekari John Kerry amesema Marekani inaangalia mfumo wa ushirikiano na Uingereza kiuchumi. Msimamo huo wa Marekani dhidi ya Uingereza,ni kufuatia kura ya ...