Habarika | Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)
layout-wrap boxed
Sunday, April 22, 2018

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)

Kampuni za simu zinazotoa huduma ya fedha kwa njia ya simu za mkononi katika kipindi cha miezi miwili iliyopita Novemba na Desemba mwaka jana zimekusanya kiasi cha Sh. trilioni 13.07. Kaimu Meneja wa Habari Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Semu ...

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa tahadhari kwa watumiaji wa huduma za mawasiliano juu ya utapeli unaofanywa kwa kutumia simu za mkononi. Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Kaimu Meneja wa Mawasiliano kwa Umma wa TCRA, ...

Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita ameiomba Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kufuatilia watu walioandika taarifa za uchochezi katika mitandao ya kijamii kuhusu agizo la Mkuu wa Mkoa huo, Paul Makonda la kufanya msako nyumba kwa nyumba ...