Habarika | Donald Trump
layout-wrap boxed
Sunday, April 22, 2018

Donald Trump

Rais wa Marekani Donald Trump amesema serikali yake itaanza mara moja kushughulikia ujenzi wa ukuta kati ya Marekani na Mexico ikiwa ni utekelezaji wa ahadi yake kubwa aliyoiweka wakati wa kampeni za uchaguzi. Akizungumza na wafanyakazi wanaohusika na usalama wa ...

Rais wa Marekani Donald Trump amefanya kile alichokiita siku yake ya kwanza kuanza kazi katika utawala wake, kutokana na uamuzi alioufanya wa nchi yake kujiondoa katika mpango wa Ushirikiano wa kiuchumi wa nchi zinazounganishwa na bahari ya Pasifiki ambapo pia ...

Shirika moja la kisheria nchini Marekani limetangaza kwamba litawasilisha kesi dhidi ya Rais Donald Trump. Shirika hilo linamtuhumu kiongozi huyo kwa kikiuka marufuku iliyowekwa kwenye katiba dhidi ya kupokea malipo kutoka kwa serikali za nchi za nje. Kundi la mawakili ...

Vyombo vya habari nchini Marekani vimesema kuwa aliyekuwa rais wa taifa hilo George Bush anapata matibabu katika hispitali moja ya Houston katika jimbo la texas. Maelezo kuhusu hali yake hayajatolewa ,lakini mkuu wa wafanyikazi wake amenukuliwa akisema kuwa bw Bush ...

Rais mteule nchini Marekani Donald Trump amethibitisha kuwa mkuu wa kampuni ya Exxon Mobil, Rex Tillerson ndiye waziri wa mambo ya nje nchini Marekani. Bwana Trump alimsifu Tillerson mwenye umri wa miaka 64 kama mmoja wa viongozi wa biashara wenye ...

Rais mteule wa Marekani Donald Trump amezionya kampuni dhidi ya hatua kali iwapo zitaondoka Marekani. Alikuwa akizungumza katika jimbo la Indiana ambapo alijisifu kwa kunusuru kazi 1000 katika kampuni ya Carrier Corp ambayo ilikuwa inapanga kuhamia Mexico. Bw Trump sasa ...

Mkurugenzi wa shirika la kijasusi nchini Marekani CIA amemuonya rais mteule wa Marekani Donald Trump kwamba kusitisha makubaliano ya mpango wa nyuklia na Iran itakuwa ”hatari na upuuzi”. Katika mahojiano na BBC ,John Brennan pia alimshauri rais huyo mpya kuwa ...

Rais wa Marekani anayemaliza muda wake, Barack Obama amesema huenda akazungumza, kinyume na utamaduni wa siasa Marekani, iwapo mrithi wake Donald Trump atatishia “maadili muhimu” ya Marekani. Huwa desturi kwamba marais wa zamani wa Marekani huwa hawajiingizi sana katika siasa ...

Karibu wanafunzi 1,000 wa shule za sekondari kutoka Washington DC, na maeneo ya jirani walitoka mashuleni na kuandamana kuzunguka mji hapo Jumanne, wakimpinga rais mteule w Marekani, Donald Trump. Kwa mujibu wa mwanafunzi mmoja aliyeongea na VOA alisema kwamba klabu ...

Mhubiri mashuhuri raia wa Nigeria TB Joshua amevunja ukimya baada ya utabiri wake kuwa mgombea urais nchini Marekani Hillary Clinton angeshinda, kugonga mwamba. Mhubiri huyo alikejeliwa kwenye mitandao ya kijamii wakati ujumbe wa utabiri wake, kufutwa na baadaye kurejeshwa katika ...