Habarika | Chama Cha Mapinduzi
layout-wrap boxed
Tuesday, May 22, 2018

Chama Cha Mapinduzi

Chama cha Mapinduzi kimewashukuru watanzania kwa kukipa ushindi mkubwa katika chaguzi ndogo za madiwani na ubunge zilizofanyika mwishoni mwa wiki huku kikiweka hadharani siri ya ushindi. Akizungumza na vyombo vya habari katika ofisi ndogo za makao makuu ya CCM Lumumba ...

Kikao cha halmashauri kuu ya Taifa ‘NEC’ ya chama cha mapinduzi ‘CCM’ kimekutana leo December 13 2016 ikulu jijini Dar es salaam. Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi, Rais Magufuli alifungua kikao hicho ambapo moja ya kitu ambacho alikizungumza ni pamoja ...

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amewatoa hofu wananchi kuwa hakutakuwa na uvunjifu wa amani kutokana na sintofahamu inayoendelea nchini baina ya vyama vya siasa. Alisema suala hilo litajadiliwa kwa njia ya busara na amani kwa kufanya mazungumzo ...

Mahakama Maalumu ya kushughulikia Makosa ya Rushwa na Ufisadi, inaanza rasmi leo Julai mosi. Pamoja na kuanza kwa mahakama hiyo, serikali imeanza mchakato kuifanyia marekebisho Sheria Namba 11 ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini ya Mwaka 2007 ili kuongeza ...

Mwenyekiti wa kijiji cha Lubasanze wilaya ya Morogoro amenusurika kupigwa na wananchi wake kwa kile kilichodaiwa kutosoma matumizi na mapato tangu achaguliwe ikiwa ni pamoja na kutuhumiwa kupokea rushwa kutoka kwa wafugaji na kuwaruhusu kuingiza mifugo ambayo imekuwa ikiharibu mazao ...

Chama cha Mapinduzi mkoa wa Arusha kimesema kimeanza kutekeleza mpango maalum wa kuwapatia mbinu wawakilishi wa wananchi wanaotokana na chama hicho ili kubaini wizi ufisadi  na ufujaji wa mali za Umma unao fanywa na baadhi ya watendaji wa Serikali katika ...