Habarika | CCM
layout-wrap boxed
Tuesday, May 22, 2018

CCM

Chama cha Mapinduzi kimewashukuru watanzania kwa kukipa ushindi mkubwa katika chaguzi ndogo za madiwani na ubunge zilizofanyika mwishoni mwa wiki huku kikiweka hadharani siri ya ushindi. Akizungumza na vyombo vya habari katika ofisi ndogo za makao makuu ya CCM Lumumba ...

Naibu Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amewataka Watanzania wasikubali kupotoshwa na Kambi Rasmi ya Upinzani iliyoamua kususa vikao anavyoviongoza kwa kuwa kuna fursa ya kukata rufaa dhidi ya uamuzi wake kama amekosea. Akizungumza bungeni jana mchana, Dk Tulia alisema kanuni ...

Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG) umelaani na kueleza kutokubaliana na tabia ya baadhi ya wabunge ya kutumia lugha za matusi, kejeli, dharau na udhalilishaji wa wabunge wanawake kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuwa wamepata nafasi hiyo kwa ...

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa serikali haijatoa maelekezo yoyote ya siasa yanayohusiana na upendeleo vyuoni Majaliwa ameyasema hayo alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Tarime Mjini kupitia Chadema Esther Matiko aliyeuliza swali kwamba serikali imetoa maagizo ya wanafunzi wanaounga ...

Msemaji wa chama cha mapinduzi CCM taifa Bwana Christopha Ole Sendeka ameitaka serikali iwatumbue na kuwaanika hadharani pamoja na kuanisha adhabu wanayostahili kupewa wale wote waliokwepa kulipa kodi ya mafuta na kuisababishia serikali hasara kwa kuhujumu uchumi wa nchi. Olesendeka ...

Chama kikuu cha upinzani visiwani Zanzibar kimesema hakimtambui Dkt Mohamed Ali Shein aliyetangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi wa marudio uliofanyika mwezi uliopita. Viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF), wakizungumza kwa mara ya kwanza tangu kufanyika kwa uchaguzi huo ambao chama ...

Chama kikuu cha upinzani visiwani Zanzibar leo kinatarajiwa kutangaza mikakati yake na msimamo kuhusiana na mzozo wa kisiasa wa Zanzibar. Hata hivyo msimamo huo unatarajiwa kuzungumzia mufaka katika ya chama cha CUF na CCM ambao ulileta uundwaji wa serikali kati ...

“Nawashukuru sana wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kwa kunipigia kura na kupata ushindi mkubwa ambapo naahidi kufanya kazi kwa ajili ya kuleta maendeleo ambapo mafanikio yote hayo ni mashirikiano kwenu ninyi”, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi (BLW) wamemchagua kwa kura ...

Shirika la ufadhili la serikali ya Marekani limesitisha msaada wake kwa serikali ya Tanzania likilalamikia matukio kuhusu uchaguzi wa Zanzibar na kutekelezwa kwa Sheria ya Makosa ya Mtandao. Bodi ya Shirika la Changamoto za Milenia (MCC) imesema Tanzania haijatimiza viwango ...

Tuhuma za baadhi ta wabunge kuomba rushwa kwa taasisi na mashirika ya serikali zimelivuruga bunge ambapo jana Spika Job Ndugai alilazimika kuwang’oa viongozi na wabunge wa kamati za Bunge kutoka kamati moja kwenda nyingine. Wabunge wanaotuhumiwa kuomba rushwa kwa mashirika ...