Habarika | SHEIN ATANGAZWA MSHINDI WA URAIS ZANZIBAR
layout-wrap boxed
Sunday, February 25, 2018

SHEIN ATANGAZWA MSHINDI WA URAIS ZANZIBAR

Hatimaye mgombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinguzi Dk Ali Mohamed Shein ametangazwa kuwa mshindi wa nafasi ya Urais visiwani humo baada ya kupata kura 299,982. ambazo ni sawa na asilimia 91 ya kura zote

Matokeo kamili kama yalivyotangazwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), yanaonesha licha ya Chama cha Wananchi (CUF) kususia, mgombea wake Maalim Seif Sharif Hamad alipata kura 6,076 kwenye uchaguzi wa marudio uliofanyika hapo jana huku Hamad Rashid Mohamed wa chama cha ADC akiwa ndiye mshindi wa pili kwa jumla ya kura  9,734 sawa na asilimia 3.0

 

Sambaza Makala hii: Share on Facebook0Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn0Share on Google+0Email this to someone

You may also like

0 comments

By