Habarika | SERIKALI YASHAURIWA KUWACHUKULIA HATUA WAZAZI WANAOTELEKEZA WATOTO WENYE ULEMAVU
layout-wrap boxed
Tuesday, May 22, 2018

SERIKALI YASHAURIWA KUWACHUKULIA HATUA WAZAZI WANAOTELEKEZA WATOTO WENYE ULEMAVU

Serikali imeshauriwa kuwachukulia hatua kali wazazi ambao wamekuwa wakiendeleza vitendo vya kuwatelekeza watoto wenye ulemavu wa akili na viungo ikiwa ni pamoja na kuweka mkazo wa elimu maalumu inayotolewa kwa watoto hao kwa kuifanya kuwa na tija.

Akizungumza na ITV  wakati akipokea msaada wa vyakula kutoka taasisi ya Pride Tanzania Mkurugenzi wa kituo cha watoto wenye utindio wa ubongo na ulemavu wa viungo(MEHAYO) kilichopo Manispaa ya Morogoro Linda Ngido amesikitishwa na kitendo cha baadhi ya wazazi ambao wamekuwa wakiwatelekeza watoto hao katika maeneo mbalimbali hapa nchini.
Sambaza Makala hii: Share on Facebook1Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn0Share on Google+0Email this to someone

You may also like

0 comments

By