Habarika | RIO 2016: WACHUMBA WA MUDA MREFU WA TIMU YA CHINA WACHUMBIANA OLIMPIKI
layout-wrap boxed
Friday, April 27, 2018

RIO 2016: WACHUMBA WA MUDA MREFU WA TIMU YA CHINA WACHUMBIANA OLIMPIKI

Muogeleaji wa Kichina He Zi alikuwa amepokea medali yake ya fedha katika mchezo wa Springboard katika michezo ya Rio ya Olimpiki siku ya jumapili.
Wachina wachumbiana Rio de janeiro

Lakini alipata zawadi nyingine wakati mpenzi wake Qin Kai mbele ya matangazo ya runinga yaliokuwa yakipeperushwa duniani kupiga goti moja na kumuomba awe mkewe wa ndoa na kwa bahati nzuri, Qin ambaye yeye mwenyewe alishinda medali ya shaba alilikubali ombi hilo

Wachina wachumbiana Rio de janeiro

”Tumekuwa wapenzi kwa miaka sita, lakini sikudhani kwamba atanichumbia leo”,alisema.

Amesema kuwa :Vitu vingi vilileta ahadi nyingi, lakini kitu kilichonigusa zaidi ni kwamba huyu ndio mtu ninayeweza kumuamini kwa maisha yangu yote.

Wachina wachumbiana Rio de janeiro

Watazamaji wamesema kuwa kisa hicho cha kipekee kilitawala sherehe za kutoa medali katika michezo hiyo.

Wachina wachumbiana Rio de janeiro

Chanzo: BBC Swahili

Sambaza Makala hii: Share on Facebook0Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn0Share on Google+0Email this to someone

You may also like

0 comments

By