Habarika | RAIS WA BUNGE LA ULAYA ASIKITISHWA NA USHINDI WA TRUMP AKIDAI KUWA HAUNA TOFAUTI NA "KURA YA UASI"
layout-wrap boxed
Sunday, February 25, 2018

RAIS WA BUNGE LA ULAYA ASIKITISHWA NA USHINDI WA TRUMP AKIDAI KUWA HAUNA TOFAUTI NA “KURA YA UASI”

Rais wa Bunge la Umoja wa Ulaya Martin Schulz amesema ushindi wa Donald Trump ni “kura ya uasi” ambayo inafanana na Brexit (kura ya Waingereza kujitoa EU).

Official visit of the King of the Hashemite Kingdom of Jordan to the European Parliament in Strasbourg.
Martin Schulz

Ameambia redio ya Europe 1 kwamba ameshangazwa na kusikitishwa na kwamba anatarajia iwe vigumu zaidi kufanya kazi na utawala wa Bw Trump kuliko utawala wa Rais Obama.

Amemtaka Bw Trump “aheshimu maadili muhimu na uhuru wa mataifa.”

Chanzo: BBC Swahili

Sambaza Makala hii: Share on Facebook3Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn0Share on Google+0Email this to someone

You may also like

0 comments

By