Habarika | RAIA WA ETHIOPIA WAITIA LAWAMANI SERIKALI YA TANZANIA KWA KENYA
layout-wrap boxed
Sunday, February 25, 2018

RAIA WA ETHIOPIA WAITIA LAWAMANI SERIKALI YA TANZANIA KWA KENYA

Kenya imeilaumu Tanzania kwa kuwaweka raia wa Ethiopia katika eneo lake la mpaka siku ya Jumanne badala ya kuwarudisha makwao kulingana na ripoti ya gazeti la The standard nchini Kenya.

Raia hao wa Ethiopia walikuwa wameachiliwa huru baada ya kuhudumia vifungo vya mashtaka tofauti ya uhalifu nchini Tanzania ambapo Maafisa wa polisi wameagizwa kutowaruhusu wageni hao kuingia nchini Kenya.

”Watarudishwa nchini Tanzania walikotoka. Kisa hicho hakikubaliki na hakiruhusiwi na sheria”,Afisa wa Kenya Henry Wafula alinukuliwa akisema.

Sambaza Makala hii: Share on Facebook1Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn0Share on Google+0Email this to someone

You may also like

0 comments

By