Habarika | TANZIA: MBUNGE WA JIMBO LA DIMANI ZANZIBAR-MH HAFIDH ALI TAHIR AFARIKI DUNIA
layout-wrap boxed
Friday, April 27, 2018

TANZIA: MBUNGE WA JIMBO LA DIMANI ZANZIBAR-MH HAFIDH ALI TAHIR AFARIKI DUNIA

Mhe Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzaia  anasikitika kuwatangazia kuwa aliekuwa Mbunge wa Jimbo la Dimani, Zanzibar Mheshimiwa Hafidh Ali Tahir amefariki dunia asubuhi ya kuamkia leo katika Hospitali ya General mkoani Dodoma.

Taarifa zaidi kuhusu msiba huu zitatolewa hapo baadae. Mhe Spika anaungana na Wabunge wote katika kuomboleza msiba huu.

Awali Marehemu pia alikuwa mwalimu wa soka kwenye timu ya Bunge Sports Club na mpaka usiku wa Novemba 10 alikuwa pamoja na waheshimiwa wabunge katika vikao.

 

Sambaza Makala hii: Share on Facebook0Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn0Share on Google+0Email this to someone

You may also like


Warning: file_get_contents(http://graph.facebook.com/?ids=http://habarika.com/mbunge-wa-jimbo-la-dimabi-mh-hafidh-ali-tahir-afariki-dunia/): failed to open stream: HTTP request failed! HTTP/1.1 403 Forbidden in /home/habarika/public_html/wp-content/themes/habarika/elements/element.php on line 80
0 comments

By