Habarika | MPYA: MAGUFULI AMFUTA KAZI MTUMISHI AMBAYE HAJACHUKUA MSHAHARA KWA MIAKA MITATU SASA
layout-wrap boxed
Tuesday, December 12, 2017

MPYA: MAGUFULI AMFUTA KAZI MTUMISHI AMBAYE HAJACHUKUA MSHAHARA KWA MIAKA MITATU SASA

ange

Rais John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Bi. Juliet Kairuki (pichani) aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji (TIC).

Taarifa kutoka Wizara ya viwanda na uwekezaji imeeleza kuwa Rais Magufuli amemsimamisha Bi. Juliet Kairuki kwa kutochukua mshahara tangu alipoteuliwa kushika wadhifa huo April 2013.

kairuki

Juliet Kairuki aliteuliwa na Rais mataafu wa Tanzania Mhe Jakaya Kikwete kushika nafasi hiyo April 2013

Sambaza Makala hii: Share on Facebook1Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn0Share on Google+0Email this to someone

You may also like

0 comments

By