Habarika | JAJI ALIYEMSHAMBULIA DONALD TRUMP KWENYE VYOMBO VYA HABARI AMUOMBA RADHI
layout-wrap boxed
Sunday, February 25, 2018

JAJI ALIYEMSHAMBULIA DONALD TRUMP KWENYE VYOMBO VYA HABARI AMUOMBA RADHI

Jaji mmoja wa Mahakama ya Juu zaidi ya Marekani ameomba radhi kwa matamshi yake ya hadharani ya kumshtumu mgombea kiti cha urais kwa tiketi ya Republican Donald Trump.

WASHINGTON - MARCH 03:  U.S. Supreme Court Justice Ruth Bader Ginsburg smiles during a photo session with photographers at the U.S. Supreme Court March 3, 2006 in Washington DC.  (Photo by Mark Wilson/Getty Images)
 Ruth Bader Ginsburg 

Jaji huyo Bi Ruth Bader Ginsburg amejikosoa kwa matamshi hayo ambayo anasema anayajutia.

Katika msururu wa mahojiano na vyombo vya habari Jaji Ruth Bader Ginsburg amekuwa akimuelezea Bw Trump kama mtu asiye na sifa njema, mwenye majivuno yasiyofaa na aliye na tabia zisizostahili kuwa Rais.

Katika kujibu kauli hizo Bw Trump amekuwa akisema jaji huyo anapaswa kujiuzulu kwa sababu ni makosa kwa mtu mwenye wadhifa wake kujiingiza katika kampeni za kisiasa.

Sambaza Makala hii: Share on Facebook2Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn0Share on Google+0Email this to someone


Warning: file_get_contents(http://graph.facebook.com/?ids=http://habarika.com/jaji-aliyemshambulia-donald-trump-kwenye-vyombo-vya-habari-amuomba-radhi/): failed to open stream: HTTP request failed! HTTP/1.1 403 Forbidden in /home/habarika/public_html/wp-content/themes/habarika/elements/element.php on line 80
0 comments

By