Habarika | KOFI ANNAN: ISAIDIENI AFRIKA INATESEKA KWA NJAA
layout-wrap boxed
Tuesday, May 22, 2018

KOFI ANNAN: ISAIDIENI AFRIKA INATESEKA KWA NJAA

Katibu mkuu wa zamani wa umoja wa mataifa, Kofi Annan ameitaka dunia kutoa misaada ya kifedha kwa nchi za Afrika kama Ethiopia ambazo zinateseka na ukame, Kofi amesema dunia imejisahau kwa kuweka kipaumbele kwa nchi ya Syria na mashariki ya kati wakati nchi zingine zikiteseka.

“Kuna mazoea ambayo jumuiya za kimataifa zimejiwekea kwa muda kwa kutoa kipaumbele kwa janga moja na kusahau jingine. Hivyo ombi langu kwa jumuiya ya kimataifa ni kuwa na huruma na watu wanaohitaji chakula na kuunga mkono jitihada za shirika la chakula duniani WHO, na mashirika mengine ya misaada.”

Sambaza Makala hii: Share on Facebook2Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn0Share on Google+0Email this to someone

You may also like

0 comments

By