Habarika | EWURA YATII OMBI LA TANESCO, YASHUSHA BEI ZA UMEME KWA WATUMIAJI
layout-wrap boxed
Tuesday, December 12, 2017

EWURA YATII OMBI LA TANESCO, YASHUSHA BEI ZA UMEME KWA WATUMIAJI

ewura

Dar es Salaam, Tanzania. Mamlaka ya Usimamizi wa Huduma za Nishati na Maji EWURA imetangaza kushusha bei za umeme kuanzia leo kwa watumiaji wote wa viwango tofauti.

umeme

Kushuka huko kwa bei ya umeme ni kutokana na ombi la Shirika la Umeme Tanzania TANESCO kutaka bei za umeme zipunguzwe sambamba na hilo gharama za huduma kwa baadhi ya wateja zimeondolewa.

CHANZO: ITV

Sambaza Makala hii: Share on Facebook1Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn0Share on Google+0Email this to someone

You may also like

0 comments

By