Habarika | CUF KUTOA YA MOYONI KUHUSIANA NA HALI YA KISIASA ZANZIBAR LEO
layout-wrap boxed
Sunday, April 22, 2018

CUF KUTOA YA MOYONI KUHUSIANA NA HALI YA KISIASA ZANZIBAR LEO

Chama kikuu cha upinzani visiwani Zanzibar leo kinatarajiwa kutangaza mikakati yake na msimamo kuhusiana na mzozo wa kisiasa wa Zanzibar.

Hata hivyo msimamo huo unatarajiwa kuzungumzia mufaka katika ya chama cha CUF na CCM ambao ulileta uundwaji wa serikali kati ya vyama hivyo viwili.

Chama cha CUF visiwani Zanzibar bado kinaendeleza msimamo wake kususia kutambua matokeo na serikali iliyoundwa kufuatia uchaguzi wa marudio.

Hivi karibuni shirika la misaada la Marekani MCC lilisitisha msaada wa dola 487 kwa madai ya kutoridhishwa na hali ya kisiasa visiwani Zanzibar.

-BBC SWAHILI

Sambaza Makala hii: Share on Facebook2Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn0Share on Google+0Email this to someone

You may also like

0 comments

By