adam, Author at Habarika
layout-wrap boxed
Tuesday, May 22, 2018

All posts by "adam"

Waziri wa Fedha, Dr. Philiph Mpango amewaeleza Watanzania kila kilichosemwa kwenye mazungumzo IKULU na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia ambaye ameitembelea Tanzania ambapo moja ya vilivyojadiliwa ni Fly Over ya Ubungo ambayo itasaidia ...

Rais wa Marekani Donald Trump amesema serikali yake itaanza mara moja kushughulikia ujenzi wa ukuta kati ya Marekani na Mexico ikiwa ni utekelezaji wa ahadi yake kubwa aliyoiweka wakati wa ...

Warusha matangazo ya televisheni na wenye vituo vya utangazaji wamependekeza matangazo ya bure yaondolewe na badala yake wananchi walipie. Mapendekezo hayo yametolewa kwenye mkutano wa kukusanya maoni ulioandaliwa na Mamlaka ...

Kampuni za simu zinazotoa huduma ya fedha kwa njia ya simu za mkononi katika kipindi cha miezi miwili iliyopita Novemba na Desemba mwaka jana zimekusanya kiasi cha Sh. trilioni 13.07. ...

Rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kutia saini amri kuu kuweka masharti kuhusu wahamiaji wanaoingia nchini humo. Taarifa kutoka Marekani zinasema ataanza kwa hatua ya kuimarisha usalama katika mpaka wa ...

Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu, unaosimamiwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA), utaanza rasmi kutekelezwa mwezi ujao, imefahamika. Hayo yameelezwa na Waziri wa Nishati na Madini, ...

Chama cha Mapinduzi kimewashukuru watanzania kwa kukipa ushindi mkubwa katika chaguzi ndogo za madiwani na ubunge zilizofanyika mwishoni mwa wiki huku kikiweka hadharani siri ya ushindi. Akizungumza na vyombo vya ...

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa tahadhari kwa watumiaji wa huduma za mawasiliano juu ya utapeli unaofanywa kwa kutumia simu za mkononi. Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar ...

Wanawake wanaojitoa mhanga nchini Nigeria wameanza kutumia watoto kuepuka vizuizi vya ukaguzi, jambo ambalo, serikali nchini humo inasema linaweza kuwa mwelekeo wa hatari. Tahadhari hiyo imekuja baada ya wanawake wawili ...

Walimu watatu mkoani Mwanza wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa kosa la  kukimbia vituo vyao vya kazi na kufanya kazi shule binafsi huku wakiendelea kupokea mishahara ya serikali Taarifa ya ...