Habarika | ALIYESHTAKIWA KWA KOSA LA KUJIFANYA OFISA WA USALAMA WA TAIFA AACHIWA HURU NA MAHAKAMA
layout-wrap boxed
Tuesday, May 22, 2018

ALIYESHTAKIWA KWA KOSA LA KUJIFANYA OFISA WA USALAMA WA TAIFA AACHIWA HURU NA MAHAKAMA

Miezi kadhaa iliyopita aliyekuwa mwenyekiti wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi ‘UVCCM’ Arusha, Lengai Ole Sabaya alishtakiwa kwa kosa la kujifanya ofisa usalama wa Taifa na kughushi kitambulisho cha usalama wa taifa.

Kesi hiyo imetolewa maaamuzi na mahakama ya hakimu mkazi Arusha leo December 14 2016 ambapo imemuachia huru Lengai Ole Sabaya baada ya upande wa Jamhuri kusema hawana nia ya kuendelea na kesi hiyo.

Sambaza Makala hii: Share on Facebook0Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn0Share on Google+0Email this to someone

You may also like

0 comments

By